Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

TCCA’s July 2023 General Meeting

July 15, 2023 @ 3:00 pm - 5:30 pm

TANGAZO KWA WANAMFUKO WOTE WA TCCA, WANAMFUKO WATARAJIWA NA WAGENI WA TCCA:

Ndugu Wanamfuko wa Tanzanian Columbus Community Association (TCCA):

Uongozi wa TCCA unapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa kwanza wa mwaka kwa Wanamfuko wote wa TCCA, Wanamfuko Watarajiwa na wageni waalikwa utaokaofanyika siku ya Jumamosi, Julai 15, 2023 kuanzia saa tisa adhuhuri kamili (3:00 pm sharp) hadi saa kumi na moja na nusu kamili jioni (5:30 pm sharp).

MAHALI:
Meeting Room 1, 2, 3, Columbus Metropolitan Library- Karl Rd Branch, 5590 Karl Rd, Columbus, OH 43229.

Kwa mujibu wa katiba, kila Mwanamfuko anatakiwa kuhudhuria mkutano mmoja kati ya miwili.

Tungefurahi kumuona kila Mwanamfuko akihudhuria huu Mkutano Mkuu kutokana na agenda muhimu zitakozojadiliwa na kuamuliwa kwa kura. Usikose!

Karibuni,
Uongozi, TCCA

Details

Date:
July 15, 2023
Time:
3:00 pm - 5:30 pm

Organizer

Tanzanian Columbus Community Association (TCCA)
Email:
jumuiyatanzaniaOhio@yahoo.com
View Organizer Website

Venue

Columbus Metropolitan Library: Karl Road Branch
5590 Karl Rd
Columbus, OH 43229 United States
+ Google Map
Phone:
(614) 645-2275
View Venue Website

Leave a Reply